CardealPage ni nini? CardealPage ni nini?

CardealPage ni nini?

CardealPage ina sifa 5 ambazo zinaifanya kung'ara.

1. Bidhaa kubwa na vingi vya kuchagua kutoka wastani wa zaidi ya 79,000 katika hifadhi.

Shukrani kwa idadi kubwa ya bidhaa vinavyopatikana, unaweza kuchagua kupitia mapendekezo yako binafsi, kama rangi, mwaka, umbali kwa maili, bei, hali, na mengi zaidi!

2. Hakuna tena haja ya kwenda kwa tovuti nyingi ili kulinganisha, makampuni mengi yanayouza magari nje tayari yako hapa!

Watu wengi hutembelea kwa wastani kati ya tovuti mbili hadi tano ili kulinganisha.
CardealPage inakunusuru haja ya kulinganisha, kwani wengi wa waagizaji wakuu wa magari wanaweza tayari kupatikana kwenye tovuti hii.
Mchakato wa kulinganisha umekuwa rahisi sana!

3. Unaweza kulinganisha kila gari kupitia bei yote ya pamoja (bei ya CIF).

Magari yote yaliyoorodheshwa yanaonyeshwa na bei yao yote ya pamoja (CIF).
Kila kampuni inayouza bidhaa nje ya nchi inaweza kuwa na bei zao za bima na uchukuzi wa mizigo, lakini hii haina maana, kwani magari yote yanaweza kuonekana na bei zao za CIF.
Tunapanga pia kuongeza zaidi chaguzi za "tafuta kwa", kama hali (ya magari), pamoja na rangi, mwaka, umbali kwa maili, nk.

4. Unaweza kupata magari kwa ofa kutoka kwa wafanyabiashara wa magari nchini Japan.

CardealPage inaorodhesha na kuuza kwa niaba ya wafanyabiashara wa gari nchini Japan.
Magari mengi yamewekewa alama asili ya uuzaji katika soko la ndani, hivyo basi huwezi kujua ni nini unaweza kupata hasa magari yanayouzwa kwa bei nafuu!

5. All real & genuine stock!

Magari yote yanayopatikana kwa CardealPage ni halisi na ya kweli.
Ni magari ambayo yanahifadhiwa na kupatikana katika hifadhi zilizoko kwa majengo ya Mwuzaji, hivyo basi unaweza kununua ukiwa na uaminifu kamili na imani.

Jinsi ya kutambua kama gari lililoorodheshwa na "CardealPage" au "Makampuni yanayouza Magari nje ya Japan" ?

Kampuni inayoorodhesha gari "" (CardealPage au Makampuni mengine yayanayouza Magari nje ya Japan) itashughulikia mchakato wote wa biashara hiyo.
Kwa mfano, watajibu maswali yako kuhusu mchakato wa malipo, usafirishaji na nyaraka za magari yao.
Tafadhali panga kulipa moja kwa moja kwa "kampuni inayoorodhesha gari" (CardealPage au Makampuni yanayouza Magari nje ya Japan).

Maelezo ya michakato na mawasiliano:

Pata bei nafuu kila siku! Mfumo wa Kulinganisha Bei ni nini? (Hifadhi ya Wafanyabiashara wa mtaa wa magari)

CardealPage inatumia Mfumo wa Kulinganisha Bei kwa magari yote ambayo tunauza kwa niaba ya wafanyabiashara wa mtaa wa magari.

Mfumo wa Kulinganisha Bei ni mfumo ambao huteremsha bei kwa utaratibu kila siku.
Magari mengi hupunguzwa bei kila siku, kwa hiyo tafadhali tembelea tovuti yetu kila siku ili upate mauzo mapya na ya bei nafuu.

Ukihisi bei ni nafuu,tafadhali lipia gari hilo mara moja.

Magari yote yanayouzwa na CardealPage (kwa niaba ya wafanyabiashara wa mtaa) huthibitishwa kwa mteja ambaye malipo yake yamepokewa kwanza, yaani kwa msingi wa mteja wa kwanza ndiye anahudumiwa kwanza.
Unahatar ya kupoteza gari lako kwa mnunuzi mwingine kama utangojea kwa muda mrefu bei ziteremke.

* Bei nafuu zilizoko hapo juu ni mifano tu.

Kuna mtu yeyote anayefikiri kununua gari hiyo?

Unaweza kuona ni watu wangapi wanataka kununua kila gari kwa kuangalia ingizo la "Nataka Kununua".
Namba hiyo inaonyesha ni wateja wangapi wametoa oda za ankara kwa gari hilo.
Tafadhali fanya mpango wa kulipa baada ya kuamua ununuzi wako ili kuepuka masikitiko.

Kampuni ya uendeshaji ya CardealPage

Jina la Kampuni CardealPage Co., Ltd
Makau Makuu 4F Masumoto Bldg., 7-4-3, Nishishinjuku, Shinjuku-ku, Tokyo 160-0023, Japan
Tel:+81-3-5937-4554
TEL : +81-3-5937-4554 / FAX : +81-3-5937-4552
MAIL : sales@cardealpage.com
Shirika July 2014
CEO Jun Matsuoka
Tovuti ya Kampuni https://www.cardealpage.co.jp/
Tondoti za Benki
Jina la Benki SUMITOMO MITSUI BANKING CORPORATION.
Anwani ya Benki 3-4-2, MARUNOUCHI, CHIYODA-KU, TOKYO, JAPAN
Jina la Tawi MARUNOUCHI BRANCH (Branch Sort Code:245)
Namba ya Akaunti 2017779
Jina la Akaunti CARDEALPAGE CO., LTD
SWIFTCODE SMBCJPJT
Tume ya Usalama wa Umma Tokyo. Reg No 304361407966