Kampuni ya uuzaji magari ya Japani CardealPage - Home > Jinsi ya Kununua
CardealPage ni jukwaa linaloongoza kwa magari yaliyotumika ambapo unaweza kununua kwa urahisi na imani kubwa.
Kwa waingizaji bidhaa wa mara ya kwanza (tafadhali bofya kwa kiungo hiki)Kwa CardealPage, unaweza kutafuta gari lako kupitia makundi mbalimbali kutoka ukurasa wa JUU.
Kwa mfano, unaweza kuchagua kuwa na matokeo ya utafutaji yaliyoorodheshwa kulingana na kampuni, aina ya gari, mwaka, bei, na mengi zaidi!
Unaweza kuona bei zote zinazojumuisha (CIF) kwenye bandari yako ya kushushia kwa CardealPage,
ambayo inafanya utafutaji na ulinganishaji wa bei ya magari mengi rahisi kama 1 2 3!
Unaweza kuong jina la kampuni la kuuza bidhaa nje ya nchi kando ya "Mwuzaji"
Ikiwa gari linahitaji utunzaji au matengenezo mengine, alama "" itaonekana katika sehemu ya maelezo ya ziada.
Tafadhali fuatilia ili kupata tondot zaidi.
* Kuna uwezekano wa kupata gari lililofanyiwa ukarabati kwa kutumia zvipuri vya Kijapani. Tafadhali uliza.
Kampuni / Jina la gari | Picha | FOB |
TOTAL(CIF)
|
Mwaka Month |
Umbali kwa maili |
/Msimbo |
Giaboksi |
Mafuta Aina ya gari |
Viti |
Drive Aina ya gari |
Taarifa ya Ziada
|
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
TOYOTA CALDINA
(GF-AT211G)
|
|
US$ 1234 US$ 1200
|
---
|
2002 Mar |
64,000 (km) |
1,800 (cc) |
AT | PETROL | 5 | 2WD | None |
1
Muuzaji : |
|||||||||||
Ref No.07542 |
Last Update:Apr/13/2017(JST) |
||||||||||
MAZDA BONGO VAN
(ABF-SK82V)
|
|
US$ 1,316 US$ 982
|
---
|
2010 Mar |
236,000 (km) |
1,800 (cc) |
AT | PETROL | 3 | 2WD |
2
Angalia taarifa
|
Muuzaji : |
|||||||||||
Ref No.04411 |
Last Update:Apr/05/2017(JST) |
Pitia upya picha,vipimo, na hali.
Unaweza kuona idadi ya watu wanaotaka kununua magari haya.
* Sisi kimsingi huuza bidhaa zetu kwa msingi wa mteja wa kwanza kuja ndiye atahudumiwa kwanza! Harakisha usije ukaudhika!
Angalia bei ya jumla (CIF) kwa bandari lako la kushushia.
Jaza tondoti muhimu na bofya Wasiliana na Mwuzaji.
Enda kwa Kituo cha Kupiga Gumzo na jadiliana na Mwuzaji.Mtakapo kubaliana kuhusu bei, Mwuzaji atakupaa ankara.
Tafadhali bofya kwa "KUBALI", na utaweza kupiga chapa ankara hiyo.
Ankara: Tafadhali panga kufanya malipo kupitia tondoti za benki zinazopatikana kwa ankara hiyo.
Kiasi cha CIF/CFR kilichoonyeshwa ni sharti litumwe kielektroniki kwa kupitia Telegraphic Transfer.
Tafadhali tuma thibitisho ya malipo kwa mwuzaji.
Utapokea taarifa kutoka kwa Mwuzaji kwa madhumuni ya kuthibitisha upokezi ya malipo yako.
Tafadhali wasiliana na Mwuzaji kama hujasikia kutoka kwao.
Tafadhali wasiliana na Mwuzaji wako takriba ya wiki moja baada ya kupokea thibitisho ya malipo.
Ikiwa mwuzaji wako ni CardealPage, unaweza kufuatilia maendeleo kupitia My Account.
Tafadhali wasiliana na Mwuzaji wako takriban ya wiki moja baada ya kupokea thibitisho ya malipo.
Ikiwa mwuzaji wako ni CardealPage, unaweza kufuatilia maendeleo kupitia My Account.
Gari yako inaondoka Japan,na iko karibu kuwasili kwa bandari yako!
Kwa kufuatilia kuondoka kwa meli yako kutoka Japan, utatumiwa anwani iliyotajwa ya tarishi nyaraka zote utakazohitaji kwa ajili ya taratibu za forodha na usajili wa gari lako.
Tafadhali wasiliana na wakala wako wa bandari kwa ajili ya kupanga na kutayarisha mchakato wa kukamilisha taratibu za forodha kabla ya kuwasili kwa gari lako.
Tafadhali kumbuka ya kwamba gari hilo halijasonga kwa muda mrefu kabla ya kusafirishwa kwa meli.
Hii inaweza kusababisha madhara na uharibifu mkubwa ikiwa kwa ghafla utaongeza mwendo wa mzunguko wa injini kwa mwendo wa kasi mno.
Tunakushauri uwache gari lako lipate joto kwa dakika kadhaa kwa kuacha injini katika hali legevu kabla ya kuendesha kwa mara ya kwanza.
Ikiwa mwuzaji wako ni CardealPage, utapata karatasi maalum ya maagizo kwa kioo kilicho mbele ya gari.
Gari hili limekupendezaje?
Umeridhika na ubora wa gari hilo na huduma na mawasiliano ya Mwuzaji?
Tafadhali tuma picha yako ukiwa kando ya gari lako pamoja na mwitiko wako!
Jedwali hapa chini linaelezea gharama kuu zinazohusiana na kuagiza gari.
Unahitaji kutengeneza bajeti ya jumla ya gharama hizi zote.
Tafadhali muulize wakala wako akupe gharama maalum zote zilizokando na bei ya CIF.
CardealPage ina uwezo wa kushughulikia michakato kwa niaba yako sehemu hizi zilizoelezwa kwa muhtasari zilizo na rangi ya bluu; Ada ya kukamilisha taratibu za forodha, na Ada ya Uchukuzi kwa nchi yako.
Tafadhali uliza kwa maelezo zaidi.